Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Nafasi za Kazi Smart Tanzania ltd, Application Deadline: 31 Jul 2016

Smart ni mtandao wa mawasiliano ya Simu wenye ofisi zake Mikocheni B (Makao makuu). Kutokana na kuongezeka kwa Watumiaji wa huduma zetu tunatoa nafasi za kazi katika upande wa SALES tukiwa na uhitaji wa
FREELENCERS (8).
NAFASI ILIYOPO
1. FREELENCERS (8)
MAJUKUMU YA KAZI
1. Kuuza bidhaa za Smart yaani Kadi za Simu (SIMCARDS)
2. Kutangaza BRAND ya Smart katika maeneo mbalimbali
3. Kutafuta na kuwauzia mawakala VOCHA za Smart

SIFA ZA WAOMBAJI
1. Elimu ya kuanzia, shahada au diploma katika mauzo au masoko
2. Mwenye kujituma na kuonesha juhudi na mwaminifu
3. Awe tayari kutembea maeneo mbalimbali ya mji wa Dar es salaam

MALIPO/MSHAHARA
1. 150,000 kwa MWEZI kwa atakae uza kadi 5 kwa siku
2. 200,000 kwa mwezi akiuza kadi 10 kwa siku
Mshahara unaweza kuongezeka kutokana na bidii yakoya mauzo ya Kadi za Simu
 Kwa walio na sifa na vigezo hivyo tuma maombi yako smarttanzaniafreelancers@gmail.com

Post a Comment

0 Comments