Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

NAFASI MPYA ZA AJIRA WINTECH ELEVATORS TANZANIA LTDWINTECH ELEVATORS TANZANIA LTD



NAFASI ZA KAZI

Tunatafuta watu wenye Taaluma zifuatazo

1. Sales & Marketing Executives (wanaume tu)
2. Accounts
3. HR Manager

Note:

• Muombaji awe na ujuzi wa kazi usiopungua miaka miwili (2)
• Muombaji awe anajua lugha ya kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha.

Waombaji wote wafike siku ya tarehe 30/04/2016 kwaajili ya interview. Muda saa 1:00 Mchana hadi 4:00 jioni. Katika ofisi yetu Diamond Plaza floor ya 2.

Kwa maulizo zaidi usisite kutupigia kwa namba ya simu:
+255 766 554 433/ 767 914 917

Source: Mwananchi 23rd April, 2016

Post a Comment

0 Comments